Hesabu 26:21
Numbers 26:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Peresi walikuwa: kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.
Numbers 26:21 in English
Numbers 26:21 · Berean Standard Bible
And these were the descendants of Perez: the Hezronite clan from Hezron and the Hamulite clan from Hamul.
Context
19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani. 20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela;
kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi;
kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 21Wazao wa Peresi walikuwa:
kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni;
kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli. 22Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500. 23Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola;
kutoka kwa Puva, ukoo wa Wapuva;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.