Native Bible

Numbers 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka.

Numbers 10:17 in English

Numbers 10:17 · Berean Standard Bible

Then the tabernacle was taken down, and the Gershonites and the Merarites set out, transporting it.

Context

15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari, 16naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni. 17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka. 18Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao. 19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.