Native Bible

Numbers 10:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni.

Numbers 10:16 in English

Numbers 10:16 · Berean Standard Bible

and Eliab son of Helon was over the division of the tribe of Zebulun.

Context

14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao. 15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari, 16naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni. 17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka. 18Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.