Hesabu 10:15
Numbers 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari,
Numbers 10:15 in English
Numbers 10:15 · Berean Standard Bible
Nethanel son of Zuar was over the division of the tribe of Issachar,
Context
13Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose. 14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao. 15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari, 16naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni. 17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.