Native Bible

Numbers 10:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.

Numbers 10:14 in English

Numbers 10:14 · Berean Standard Bible

First, the divisions of the camp of Judah set out under their standard, with Nahshon son of Amminadab in command.

Context

12Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani. 13Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose. 14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao. 15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari, 16naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.