Hesabu 10:13
Numbers 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose.
Numbers 10:13 in English
Numbers 10:13 · Berean Standard Bible
They set out this first time according to the LORD’s command through Moses.
Context
11Katika siku ya ishirini ya mwezi wa pili wa mwaka wa pili, wingu liliinuka kutoka juu ya maskani ya Ushuhuda. 12Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani. 13Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose. 14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao. 15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.