Hesabu 10:18
Numbers 10:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.
Numbers 10:18 in English
Numbers 10:18 · Berean Standard Bible
Then the divisions of the camp of Reuben set out under their standard, with Elizur son of Shedeur in command.
Context
16naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni. 17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka. 18Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao. 19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni, 20naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.