Hesabu 10:20
Numbers 10:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi.
Numbers 10:20 in English
Numbers 10:20 · Berean Standard Bible
and Eliasaph son of Deuel was over the division of the tribe of Gad.
Context
18Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao. 19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni, 20naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi. 21Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika. 22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.