Native Bible

Numbers 10:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika.

Numbers 10:21 in English

Numbers 10:21 · Berean Standard Bible

Then the Kohathites set out, transporting the holy objects; the tabernacle was to be set up before their arrival.

Context

19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni, 20naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi. 21Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika. 22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao. 23Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kikosi cha kabila la Manase,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.