Native Bible

Numbers 10:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kikosi cha kabila la Manase,

Numbers 10:23 in English

Numbers 10:23 · Berean Standard Bible

Gamaliel son of Pedahzur was over the division of the tribe of Manasseh,

Context

21Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika. 22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao. 23Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kikosi cha kabila la Manase, 24naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini. 25Mwishowe, kama kikosi cha nyuma cha ulinzi wa vikosi vyote, vikosi vya kambi ya Dani viliondoka chini ya alama yao. Ahiezeri mwana wa Amishadai alikuwa kiongozi wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.