Hesabu 10:24
Numbers 10:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini.
Numbers 10:24 in English
Numbers 10:24 · Berean Standard Bible
and Abidan son of Gideoni was over the division of the tribe of Benjamin.
Context
22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao. 23Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kikosi cha kabila la Manase, 24naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini. 25Mwishowe, kama kikosi cha nyuma cha ulinzi wa vikosi vyote, vikosi vya kambi ya Dani viliondoka chini ya alama yao. Ahiezeri mwana wa Amishadai alikuwa kiongozi wao. 26Pagieli mwana wa Okrani aliongoza kikosi cha kabila la Asheri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.