Native Bible

Numbers 10:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pagieli mwana wa Okrani aliongoza kikosi cha kabila la Asheri,

Numbers 10:26 in English

Numbers 10:26 · Berean Standard Bible

Pagiel son of Ocran was over the division of the tribe of Asher,

Context

24naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini. 25Mwishowe, kama kikosi cha nyuma cha ulinzi wa vikosi vyote, vikosi vya kambi ya Dani viliondoka chini ya alama yao. Ahiezeri mwana wa Amishadai alikuwa kiongozi wao. 26Pagieli mwana wa Okrani aliongoza kikosi cha kabila la Asheri, 27naye Ahira mwana wa Enani aliongoza kikosi cha kabila la Naftali. 28Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.