Native Bible

Numbers 10:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao.

Numbers 10:22 in English

Numbers 10:22 · Berean Standard Bible

Next, the divisions of the camp of Ephraim set out under their standard, with Elishama son of Ammihud in command.

Context

20naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi. 21Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika. 22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao. 23Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kikosi cha kabila la Manase, 24naye Abidani mwana wa Gideoni alikuwa kiongozi wa kikosi cha kabila la Benyamini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.