Native Bible

Numbers 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni,

Numbers 10:19 in English

Numbers 10:19 · Berean Standard Bible

Shelumiel son of Zurishaddai was over the division of the tribe of Simeon,

Context

17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka. 18Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao. 19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni, 20naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi. 21Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.