Native Bible

Mark 14:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.”

Mark 14:25 in English

Mark 14:25 · Berean Standard Bible

Truly I tell you, I will no longer drink of the fruit of the vine until that day when I drink it anew in the kingdom of God.”

Context

23Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo. 24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.” 26Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 27Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.