Marko 14:26
Mark 14:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.
Mark 14:26 in English
Mark 14:26 · Berean Standard Bible
And when they had sung a hymn, they went out to the Mount of Olives.
Context
24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.” 26Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 27Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa:
“ ‘Nitampiga mchungaji,
nao kondoo watatawanyika.’ 28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.