Marko 14:24
Mark 14:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Mark 14:24 in English
Mark 14:24 · Berean Standard Bible
He said to them, “This is My blood of the covenant,* which is poured out for many.
Context
22Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.” 23Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo. 24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.” 26Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.