Marko 14:23
Mark 14:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo.
Mark 14:23 in English
Mark 14:23 · Berean Standard Bible
Then He took the cup, gave thanks, and gave it to them, and they all drank from it.
Context
21Mwana wa Adamu anaenda zake kama vile alivyoandikiwa. Lakini ole wake mtu yule amsalitiye Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu huyo kama hangezaliwa.” 22Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.” 23Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo. 24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.