Native Bible

Mark 14:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”

Mark 14:28 in English

Mark 14:28 · Berean Standard Bible

But after I have risen, I will go ahead of you into Galilee.”

Context

26Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 27Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’ 28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 29Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” 30Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.