Marko 14:30
Mark 14:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.”
Mark 14:30 in English
Mark 14:30 · Berean Standard Bible
“Truly I tell you,” Jesus replied, “this very night, before the rooster crows twice, you will deny Me three times.”
Context
28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 29Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” 30Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.” 31Lakini Petro akasisitiza zaidi, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wale wengine wote wakasema vivyo hivyo. 32Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa, nami niende nikaombe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.