Native Bible

Mark 14:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.”

Mark 14:29 in English

Mark 14:29 · Berean Standard Bible

Peter declared, “Even if all fall away, I never will.”

Context

27Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’ 28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 29Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” 30Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.” 31Lakini Petro akasisitiza zaidi, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.