Marko 14:27
Mark 14:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’
Mark 14:27 in English
Mark 14:27 · Berean Standard Bible
Then Jesus said to them, “You will all fall away,* for it is written: ‘I will strike the Shepherd, and the sheep will be scattered.’*
Context
25Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu.” 26Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 27Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa:
“ ‘Nitampiga mchungaji,
nao kondoo watatawanyika.’ 28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 29Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.