Native Bible

Mark 13:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Mark 13:31 in English

Mark 13:31 · Berean Standard Bible

Heaven and earth will pass away, but My words will never pass away.

Context

29Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni. 30Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 31Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake. 33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.