Marko 13:32
Mark 13:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Mark 13:32 in English
Mark 13:32 · Berean Standard Bible
No one knows about that day or hour, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.
Context
30Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 31Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake. 33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia. 34Ni kama mtu anayesafiri. Anaiacha nyumba yake na kuwaachia watumishi wake kuiangalia, kila mtu na kazi yake, kisha akamwamuru yule bawabu aliye mlangoni akeshe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.