Marko 13:30
Mark 13:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Mark 13:30 in English
Mark 13:30 · Berean Standard Bible
Truly I tell you, this generation will not pass away until all these things have happened.
Context
28“Basi jifunzeni somo hili kutokana na mtini: Matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia. 29Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni. 30Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 31Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.