Native Bible

Mark 13:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.

Mark 13:33 in English

Mark 13:33 · Berean Standard Bible

Be on your guard and stay alert!* For you do not know when the appointed time will come.

Context

31Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake. 33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia. 34Ni kama mtu anayesafiri. Anaiacha nyumba yake na kuwaachia watumishi wake kuiangalia, kila mtu na kazi yake, kisha akamwamuru yule bawabu aliye mlangoni akeshe. 35“Basi kesheni kwa sababu hamjui ni lini mwenye nyumba atakaporudi: iwapo ni jioni, au ni usiku wa manane, au alfajiri awikapo jogoo, au mapambazuko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.