Native Bible

Mark 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.

Mark 12:9 in English

Mark 12:9 · Berean Standard Bible

What then will the owner of the vineyard do? He will come and kill those tenants, and will give the vineyard to others.

Context

7“Lakini wale wapangaji wakasemezana pamoja, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, nao urithi utakuwa wetu.’ 8Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu. 9“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu. 10Je, hamjasoma Andiko hili: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni; 11Bwana ndiye alitenda jambo hili, nalo ni ajabu machoni petu’?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.