Marko 12:11
Mark 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ndiye alitenda jambo hili, nalo ni ajabu machoni petu’?”
Mark 12:11 in English
Mark 12:11 · Berean Standard Bible
This is from the Lord, and it is marvelous in our eyes’*?”
Context
9“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu. 10Je, hamjasoma Andiko hili:
“ ‘Jiwe walilolikataa waashi
limekuwa jiwe kuu la pembeni; 11Bwana ndiye alitenda jambo hili,
nalo ni ajabu machoni petu’?” 12Walipotambua kuwa amesema mfano huo kwa ajili yao, wakataka kumkamata, lakini wakaogopa ule umati wa watu. Wakamwacha, wakaondoka, wakaenda zao. 13Baadaye wakawatuma baadhi ya Mafarisayo na Maherode ili kwenda kumtega Yesu katika yale anayosema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.