Marko 12:10
Mark 12:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, hamjasoma Andiko hili: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Mark 12:10 in English
Mark 12:10 · Berean Standard Bible
Have you never read this Scripture: ‘The stone the builders rejected has become the cornerstone.
Context
8Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu. 9“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu. 10Je, hamjasoma Andiko hili:
“ ‘Jiwe walilolikataa waashi
limekuwa jiwe kuu la pembeni; 11Bwana ndiye alitenda jambo hili,
nalo ni ajabu machoni petu’?” 12Walipotambua kuwa amesema mfano huo kwa ajili yao, wakataka kumkamata, lakini wakaogopa ule umati wa watu. Wakamwacha, wakaondoka, wakaenda zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.