Marko 12:8
Mark 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu.
Mark 12:8 in English
Mark 12:8 · Berean Standard Bible
So they seized the son, killed him, and threw him out of the vineyard.
Context
6“Mwenye shamba alikuwa bado na mmoja wa kumtuma, mwanawe aliyempenda. Hatimaye akamtuma akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’ 7“Lakini wale wapangaji wakasemezana pamoja, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, nao urithi utakuwa wetu.’ 8Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu. 9“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu. 10Je, hamjasoma Andiko hili:
“ ‘Jiwe walilolikataa waashi
limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.