Native Bible

Micah 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitaangamiza uchawi wenu na hamtapiga tena ramli.

Micah 5:12 in English

Micah 5:12 · Berean Standard Bible

I will cut the sorceries from your hand, and you will have no fortune-tellers.

Context

10“Katika siku ile,” asema Bwana, “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu na kubomoa magari yenu ya vita. 11Nitaiangamiza miji ya nchi yenu na kuziangusha chini ngome zenu zote. 12Nitaangamiza uchawi wenu na hamtapiga tena ramli. 13Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; hamtasujudia tena kazi ya mikono yenu. 14Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.