Mika 5:10
Micah 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Katika siku ile,” asema Bwana, “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu na kubomoa magari yenu ya vita.
Micah 5:10 in English
Micah 5:10 · Berean Standard Bible
“In that day,” declares the LORD, “I will remove your horses from among you and wreck your chariots.
Context
8Mabaki ya Yakobo yatakuwa miongoni mwa mataifa,
katikati ya mataifa mengi,
kama simba miongoni mwa wanyama wa msituni,
kama mwana simba miongoni
mwa makundi ya kondoo,
ambaye anaumiza vibaya na kuwararua
kila anapopita katikati yao,
wala hakuna awezaye kuokoa. 9Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako,
nao adui zako wote wataangamizwa. 10“Katika siku ile,” asema Bwana,
“nitaangamiza farasi zenu katikati yenu
na kubomoa magari yenu ya vita. 11Nitaiangamiza miji ya nchi yenu
na kuziangusha chini ngome zenu zote. 12Nitaangamiza uchawi wenu
na hamtapiga tena ramli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.