Native Bible

Micah 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitaiangamiza miji ya nchi yenu na kuziangusha chini ngome zenu zote.

Micah 5:11 in English

Micah 5:11 · Berean Standard Bible

I will remove the cities of your land and tear down all your strongholds.

Context

9Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako, nao adui zako wote wataangamizwa. 10“Katika siku ile,” asema Bwana, “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu na kubomoa magari yenu ya vita. 11Nitaiangamiza miji ya nchi yenu na kuziangusha chini ngome zenu zote. 12Nitaangamiza uchawi wenu na hamtapiga tena ramli. 13Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; hamtasujudia tena kazi ya mikono yenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.