Native Bible

Micah 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; hamtasujudia tena kazi ya mikono yenu.

Micah 5:13 in English

Micah 5:13 · Berean Standard Bible

I will also cut off the carved images and sacred pillars from among you, so that you will no longer bow down to the work of your own hands.

Context

11Nitaiangamiza miji ya nchi yenu na kuziangusha chini ngome zenu zote. 12Nitaangamiza uchawi wenu na hamtapiga tena ramli. 13Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; hamtasujudia tena kazi ya mikono yenu. 14Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu. 15Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu juu ya mataifa ambayo hayajanitii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.