Native Bible

Micah 5:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu.

Micah 5:14 in English

Micah 5:14 · Berean Standard Bible

I will root out the Asherah poles from your midst and demolish your cities.

Context

12Nitaangamiza uchawi wenu na hamtapiga tena ramli. 13Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; hamtasujudia tena kazi ya mikono yenu. 14Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu. 15Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu juu ya mataifa ambayo hayajanitii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.