Native Bible

Micah 5:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu juu ya mataifa ambayo hayajanitii.”

Micah 5:15 in English

Micah 5:15 · Berean Standard Bible

I will take vengeance in anger and wrath upon the nations that have not obeyed Me.”

Context

13Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; hamtasujudia tena kazi ya mikono yenu. 14Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu. 15Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu juu ya mataifa ambayo hayajanitii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.