Native Bible

Lamentations 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.

Lamentations 5:8 in English

Lamentations 5:8 · Berean Standard Bible

Slaves rule over us; there is no one to deliver us from their hands.

Context

6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru tupate chakula cha kutosha. 7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao. 8Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani. 10Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.