Native Bible

Lamentations 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.

Lamentations 5:10 in English

Lamentations 5:10 · Berean Standard Bible

Our skin is as hot as an oven with fever from our hunger.

Context

8Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani. 10Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda. 12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.