Maombolezo 5:11
Lamentations 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.
Lamentations 5:11 in English
Lamentations 5:11 · Berean Standard Bible
Women have been ravished in Zion, virgins in the cities of Judah.
Context
9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu
kwa sababu ya upanga jangwani. 10Ngozi yetu ina joto kama tanuru,
kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni,
na mabikira katika miji ya Yuda. 12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao,
wazee hawapewi heshima. 13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia,
wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.