Native Bible

Lamentations 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima.

Lamentations 5:12 in English

Lamentations 5:12 · Berean Standard Bible

Princes have been hung up by their hands; elders receive no respect.

Context

10Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda. 12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima. 13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 14Wazee wameondoka langoni la mji, vijana wameacha kuimba nyimbo zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.