Maombolezo 5:13
Lamentations 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.
Lamentations 5:13 in English
Lamentations 5:13 · Berean Standard Bible
Young men toil at millstones; boys stagger under loads of wood.
Context
11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni,
na mabikira katika miji ya Yuda. 12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao,
wazee hawapewi heshima. 13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia,
wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 14Wazee wameondoka langoni la mji,
vijana wameacha kuimba nyimbo zao. 15Furaha imeondoka mioyoni mwetu,
kucheza kwetu kumegeuka maombolezo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.