Maombolezo 5:15
Lamentations 5:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Furaha imeondoka mioyoni mwetu, kucheza kwetu kumegeuka maombolezo.
Lamentations 5:15 in English
Lamentations 5:15 · Berean Standard Bible
Joy has left our hearts; our dancing has turned to mourning.
Context
13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia,
wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 14Wazee wameondoka langoni la mji,
vijana wameacha kuimba nyimbo zao. 15Furaha imeondoka mioyoni mwetu,
kucheza kwetu kumegeuka maombolezo. 16Taji imeanguka kutoka kichwani petu.
Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia,
kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.