Native Bible

Lamentations 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,

Lamentations 5:17 in English

Lamentations 5:17 · Berean Standard Bible

Because of this, our hearts are faint; because of these, our eyes grow dim—

Context

15Furaha imeondoka mioyoni mwetu, kucheza kwetu kumegeuka maombolezo. 16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia, 18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake. 19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.