Maombolezo 5:18
Lamentations 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake.
Lamentations 5:18 in English
Lamentations 5:18 · Berean Standard Bible
because of Mount Zion, which lies desolate, patrolled by foxes.
Context
16Taji imeanguka kutoka kichwani petu.
Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia,
kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia, 18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa,
nao mbweha wanatembea juu yake. 19Wewe, Ee Bwana unatawala milele,
kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. 20Kwa nini watusahau siku zote?
Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.