Maombolezo 5:16
Lamentations 5:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Taji imeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!
Lamentations 5:16 in English
Lamentations 5:16 · Berean Standard Bible
The crown has fallen from our head. Woe to us, for we have sinned!
Context
14Wazee wameondoka langoni la mji,
vijana wameacha kuimba nyimbo zao. 15Furaha imeondoka mioyoni mwetu,
kucheza kwetu kumegeuka maombolezo. 16Taji imeanguka kutoka kichwani petu.
Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia,
kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia, 18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa,
nao mbweha wanatembea juu yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.