Native Bible

Lamentations 5:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wazee wameondoka langoni la mji, vijana wameacha kuimba nyimbo zao.

Lamentations 5:14 in English

Lamentations 5:14 · Berean Standard Bible

The elders have left the city gate; the young men have stopped their music.

Context

12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima. 13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 14Wazee wameondoka langoni la mji, vijana wameacha kuimba nyimbo zao. 15Furaha imeondoka mioyoni mwetu, kucheza kwetu kumegeuka maombolezo. 16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.