Native Bible

Lamentations 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini watusahau siku zote? Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu?

Lamentations 5:20 in English

Lamentations 5:20 · Berean Standard Bible

Why have You forgotten us forever? Why have You forsaken us for so long?

Context

18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake. 19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. 20Kwa nini watusahau siku zote? Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu? 21Turudishe kwako mwenyewe, Ee Bwana, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale, 22isipokuwa uwe umetukataa kabisa na umetukasirikia pasipo kipimo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.