Native Bible

Lamentations 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe, Ee Bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.

Lamentations 5:19 in English

Lamentations 5:19 · Berean Standard Bible

You, O LORD, reign forever; Your throne endures from generation to generation.

Context

17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia, 18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake. 19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. 20Kwa nini watusahau siku zote? Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu? 21Turudishe kwako mwenyewe, Ee Bwana, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.