Native Bible

Lamentations 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani.

Lamentations 5:9 in English

Lamentations 5:9 · Berean Standard Bible

We get our bread at the risk of our lives because of the sword in the wilderness.

Context

7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao. 8Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani. 10Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.