Native Bible

Lamentations 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao.

Lamentations 5:7 in English

Lamentations 5:7 · Berean Standard Bible

Our fathers sinned and are no more, but we bear their punishment.

Context

5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko. 6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru tupate chakula cha kutosha. 7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao. 8Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.